Msaada tafadhari juu ya hii namba!.

Msaada tafadhari juu ya hii namba!.

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
Jaman kuna namba hii +25578548801 inanisumbua leo usiku wa saa 10 imenipigia nikaogopa kupokea hiv ni namba ya huduma gan airtel?
Ntashukuru kama mtanisaidia!
 
Hivi wewe unamatatizo gani? Kuna vitu vingine huhitaji kabisa kuja kuuliza hapa ndani wakati jibu unalo mwenyewe, kwa nini uliogopa kuipokea? Unadaiwa? Sasa unataka sisi tuipige iyo simu ndo tukwambie ni ya nani? Tunaogopa vile vile!!!!
 
kwann unaiogopa?au kwasababu haijatimia kama vp ongeza tarakimu moja ili itimie then ipokee.teh! teh!
 
Tatizo ni kwamba hiyo namba haijatimia na ilikuwa usiku kama mmeshindwa kunisaidia basi!
 
Back
Top Bottom