Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

naomba yeyote mwenye program ya printshop jamani anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
573 Views
habari wakuu. Naomba kwa anaejua anisaidie. Simu ni mpya niki access internet haikubali. Pls i need ur help. Thanx in adv.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Nina kasimu kangu lakini sio ya kichina ni original Samsung GT-C3222,tatizo langu ni kwamba inashindwa kuplay baadhi ya video ninazo download kutoka You8 tube na waptric lakini ni baadhi ya video...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna hili swala la vifurushi ambavyo vina dakika,SMS na mega bytes kutokana na ukweli kwamba sio wote ni watumiaji wa hizi SMS pamoja na MBs nadhani si vibaya waka classify upya hivi vifurushi...
0 Reactions
4 Replies
905 Views
WanaJF naombeni msaada wa kusett VPN kwa simu yangu hapo juu na jinsi kutumia Proxy. Natanguliza shukran Wakubwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu kwa sasa natumia galaxy s2...sema ningetaka nibadilishane na jamaa yangu anipe iphone 4 ..sema cjawahi tumia iphone hapo awali. sababu ya kuitoa hii s2 ni charge na haiko stable na network...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimejaribu kutumia windows phone kuingia jf lakini napata matatizo lukuki. Kwanza nikitaka kureply keybord inatokea in a second inapotea. Siwezi kuandika. Na pia kwanini hakuna application ya jf...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana-jf...ninatumia techno n3 (android 2.3.5),tatizo kubwa ni usumbufu katika kutuma message kuanzia trh 18 august kwa mtandao wa voda...kama kuna yeyote mwenye ujuzi wa kutatua hili...
0 Reactions
4 Replies
916 Views
naomben ushauri nataka ninunue techno d5 niuze nokia asha 305,je wana JF mnanishaurije apo?:help:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hapa pamekua hakuna kituo hata ki1 sasa, MSAADA hii lnb niiamishie wapi mrad ifanye kazi sio iote jua bure hapo juu
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Za weekend waheshimiwa. Kuna mtu ananisumbua sana kwa kunipigia simu mara kibao. Yaani anaweza nipigia hata mara 100 kwa siku. nmejaribu kumkataza lakini haelewi. Nilijaribu kuomba msaada kutoka...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wana JF, Samahani naomba kuuliza eti kuna uwezekano wa kufunga AC system ambapo two indoors units zikashare one unit ya outdoor yaani labda moja unaifunga chumbani na nyingine sebuleni, au zote...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanajf! Naomba members mnisaidie jinsi ya kutoautisha wireless dongle na gprs dongle,na jinsi vinavyofanya kazi Natanguliza shukran za dhati
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kuroot huawei u8185 .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kununua pikipiki used ya 250cc, ikiwezekana iwe honda. Nipo serious.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dell hiyo hapo haitoi sauti hata kwenye head phone hamna kitu. Kama kuna mtu anajua tatizo lake anisaidie kuondoa kero hii. regards.
0 Reactions
4 Replies
824 Views
nimetumiwa hela kwa tgo Pesa siku ya tano hii hela iko pending. Pls tgo naombeni hela yangu,
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Wakuu nisaidieni nimeinstall hii windows 8.1 preview na nimeiactivate online ila haitaki kuinstall program, nikitaka kuinstall inajaribu ila inaweza kutumia hata lisaa limoja ikiandika tu...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Habari. Tokea swala la kila kampuni kuanza kutengeneza wanazoziita smartphone (kwa upeo wangu mdogo ningesema mwanzilishi akiwa apple, ktk iphone 2007) ambazo nyingi zao ni touch screen with few...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu, nnahitaji print kazi yangu hapa, lakin katika setup zangu kwenye kipengengele cha Header/Footer inagoma kupokea character zaidi ya 250, wakati kuna kazi hapa ina character...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Back
Top Bottom