Player ya VLC ina kawaida ya kuji-deactivate equlizer kila new activity inavyo anza hivyo hulazimu mtu kuactivate tena mannually!kama maisha hayo yana kuboa dawa hii hapa
FUATA HATUA ZIFUATAZO.
1.Fungua VLC player yako halafu extend menu ya tools;Halafu nenda kwenye sehemu iliyo andikwa Preferences halafu click hapo!
Tazama picha

2.Nenda chini kabisa ya menu uliyo funguka kisha "check" sehemu iliyo andikwa "All"

3.Expand neno lililo andikwa "Audio"Then "SELECT" neno lililo andikwa "filter"
NOTE:Select neno filter ila usi expand neno filter.
Baada ya hapo itafunguka menu ya Filter baada ya kufunguka unatakiwa "u-check"katika ki-box chenye maneno "Equalizer"
Kama inavyo onekana kwenye picha. Baada ya hapo SAVE!
4.Rudi mwanzo fungua menu ya Equalizer then weka tuning sound unayotaka

NOTE:Kumbuka kuandika dB ya kila band pembeni kutokana na tuning yako!
Ukimaliza;Expand Preference tena wakati huu nenda hadi kenye neno filter then expand neno hili;Baada ya ku-expand select neno Equalizer

Katika ki-box kilicho andikwa "Bands gain" Orodhesha mpangilio wa namba za db kama zilivyo jipanga kimtililiko hadi ya mwisho!(kama ulizi note pembeni)
Kama una bands 10 na zenyewe lazima ziwe kumi.
Note:Baada ya kuandika kila band weka space moja Mf. -2.3 -3.4 0.1 etc
Unaweza uka-copy na ku-paste hii hapa kwani nayo ina-sound poa sana
0.0 0.0 0.0 -7.6 -17.8 -19.2 -19.2 -19.2 11.9 11.9
Ukimaliza SAVE the you have DONE!
Restart upya VLC yako Then ENJOY no need manually selecting again after every new song!
Kama umeipenda Tupia LIKE pale kulia basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,Ayaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!