Msaada: video hazina sauti..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Salamu wakuu..
Nina tatizo ambalo ninaamini nitapata solution kutoka kwenu..
Mwaka jana nilikua na nokia e65 ambayo nilikua naitumia kuchukua video fupi fupi..
Basi nikasema siku nikitoa simu sitakua na kumbukumbu..
Nikaenda kwa jamaa wa ku-burn cd akazi-burn kwenye DVD-R..
Zikakaa vyema..
Tatizo leo naichukua ile cd niangalie zile video majangaaa..
Tobaa zootee hazitoi SAUTI...
Sijui tatizo nini..
Video zote ziko kwenye fomart ya .mpg
sasa sielewi format gani hiyo na jee kwanini kwenye application zote nilizo nazo yaani VLC, Windows media player na KMV-...
Sasa wakuu mie nifanyeje..
Naombeni ushauri wenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom