Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
guys habari natumaini mu wazima,ningependwa kujuzwa kuhusu redio ndogo aina ya sony inayoweza bebeka mfukoni kirahc yenye fm&am radios pia iweze kutumia memory kadi .nataka kujua kama ipo ni bei gani kwa pesa yetu ya kitanzania pia model halisi wa redio hiyo ili iwe rahisi kwenda kutafuta dukani1. Asanteni