Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

salam wakuu. katika pitapita zangu hapa jamvini nimeona wadau wakigusia uwezekano wakufunga antena kwenye smart TV na ukatumia built in decoder kutazama baadhi ya chanel za ndani na za nje bila...
2 Reactions
132 Replies
26K Views
Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo...
0 Reactions
4 Replies
996 Views
Nilianza safari ya Youtube mwaka mmoja uliopita. Wiki iliyo pita nimefikisha 4000+ watch hours na subscribers zaidi ya 1000! Mpaka nakua monetized nlikua na jumla ya public videos 44 zenye...
21 Reactions
95 Replies
10K Views
Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
India imeendelea kufanya maajabu katika maendeleo yake ya ya kisayansi katika kuifikia anga ya juu kutokana na Kuvutiwa upya na sehemu ya anga kunaunda fursa za ukuaji wa maili milioni kwa...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Kwa isiwe kwa Watanzania au wengineo pia?!
2 Reactions
13 Replies
678 Views
Wakuu naomba kuuliza hizi virtual reality game huwa zinauzwa Bei gani?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kuna uwezekano ukiwa katika Group la WhatsApp uka-block baadhi ya watu ili usione msg zao? Kwenye magroup kuna baadhi ya member msg zao zinakera.
2 Reactions
13 Replies
922 Views
Naomba kufahamu kwa undani yafuatayo!!! Internet ni nini? Nani mmiliki wa internet? Nini faida za internet? Nini hasara za internet?? Napenda sana kufahamu zaidi juu ya yote hayo, naomba...
2 Reactions
251 Replies
47K Views
Siku ya Alhamic kampuni ya meta kupitia mtandao wa Whatsapp wameweza kutambulisha mfumo mpya wa watu kuweza kutumia akaunti zaidi ya moja Kwenye simu. Sasa utaweza kuunda akaunti zaidi ya moja...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Whatsap wako Kwenye Majaribio ya kuleta uwezo wa watu kuficha utambulisho wao Kwenye Whatsapp. Whatsapp wanaongeza ulinzi kwa kuleta feature ya kuzuia watu kujua location yako wakati unatumia...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu. Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka...
0 Reactions
7 Replies
633 Views
Habarini wakuu, Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote. Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza...
0 Reactions
4 Replies
913 Views
Wana sayansi Toka chuo Cha Stanford kilichopo Marekani wameleta Sindano yenye uwezo wa kupunguza Matumizi ya kutumia dawa za kisukari Kila siku au Kila baada miezi kadhaa. Mimi sio daktari...
2 Reactions
4 Replies
779 Views
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake...
20 Reactions
149 Replies
17K Views
wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ