Virtual reality game zinauzwaje bei yake

Una maanisha game ama console kwa ajili ya Kuchezea games?

Virtual reality games zinaweza Kuchezwa na vifaa mbalimbali Bei tofauti tofauti.

Zile unazoziona kwenye ma Mall na sehemu nyengine za Starehe zinakuwa tu ni Arcade machine, unanunua Machine Zima Bei zake pia ni ndefu mamilioni ya Hela.

Vr pia inaweza Kuchezwa kwenye PC, PS4, PS5 etc ukiwa na headset yake. Zipo pia standalone VR ambazo hazihitaji kifaa chengine ni headset tu kama Oculus ya Facebook.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom