Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,370
- 2,806
View attachment 2827205
Moja kati ya kichocheo kikubwa Cha msingi wa maendeleo ya kiuchimi ulimwenguni ni Umeme , nchi nyingi za kiafrika Zinajitahidi sana kufanya Kazi kwa bidi ili kuboresha miundo mbinu ya nishati kuchochea ukuaji wake.
Lakini changamoto ya Umeme imekua tishio kubwa sana kwa watu waliopo kwenye mikoa mbalimbali ya nchi nyingi za kiafrika kushindwa upatikanaji wa Umeme kutokana mazingira, uchumi, teknolijia nk.
View attachment 2827206
Kuna nchi kadhaa za kiafrika zimepiga hatua kubwa sana kwenye masuala ya umeme, kupitia ripoti ya Yahoo finance imesema soko la umeme kwa sasa Lina thamani ya dollar zaidi ya $1.94 trilioni inakadiriwa mpaka kufikia mwaka 2032 itaweza kuwa dollar $3.9 trilioni.
View attachment 2827207
Orodha ya nchi za kiafrika zenye Gharama nafuu ya Umeme [emoji119]
[emoji2389] Ethiopia unit moja wananunua kwa $0.006 duniani Iko nafasi ya (3)
[emoji2390] Sudan Unit moja wananunua kwa $0.008 duniani inashika nafasi ya (4)
[emoji2391] Libya unit moja wanunua kwa $0.008 duniani Iko nafasi ya (5)
[emoji2392] Angola unit moja wananunua kwa $0.014 duniani Iko nafasi ya (7)
[emoji2393] Zimbabwe $0.015 duniani Iko nafasi ya (9)
[emoji2394] Zambia $0.024 duniani Iko nafasi ya (13)
[emoji2395] Nigeria $0.028 duniani Iko nafasi ya (16)
[emoji2396] Egypt $0.029 duniani Iko nafasi ya (18)
[emoji2397] Algeria $0.040 duniani Iko nafasi ya (23)
[emoji647] Democratic ya Congo $0.063 duniani Iko nafasi ya (38)
Je unafikiri Gharama ya Umeme Tanzania inaweza kupungua mpaka kufikia mwaka 2024 ?