Whatsapp Sasa kutumia Akaunti zaidi ya moja

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Siku ya Alhamic kampuni ya meta kupitia mtandao wa Whatsapp wameweza kutambulisha mfumo mpya wa watu kuweza kutumia akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.

Sasa utaweza kuunda akaunti zaidi ya moja Yani inawezekana akaunti ya biashara na ya kawaida Kwenye Whatsapp moja bila ku log out au kutumia Whatsapp mbili au kutumia simu zaidi ya moja.

Kwaiyo unaweza kuunganisha namba zako mbili Kwenye Whatsapp moja kama ilivyo Kwenye Facebook, Instagram, telegram.

we fanya hivi hakikisha umefanya update ya Whatsapp Yako Kisha
  • ingia "setting" Kwenye Whatsapp
  • ingia Kwenye "account" alafu tafuta
  • neno "add account" utaweza kuunganisha akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.

IMG_20231021_091803_580.jpg

#whatsapp
 
View attachment 2788008

View attachment 2788009

Kwaiyo unaweza kuunganisha namba zako mbili Kwenye Whatsapp moja kama ilivyo Kwenye Facebook, Instagram, telegram.

View attachment 2788010

we fanya hivi hakikisha umefanya update ya Whatsapp Yako Kisha
  • ingia "setting" Kwenye Whatsapp
  • ingia Kwenye "account" alafu tafuta
  • neno "add account" utaweza kuunganisha akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.

View attachment 2788011

#whatsapp
Hiyo option ni kwa Official WhatsApp ama hizi WhatsApp zisizo official kama GbWhatsApp?
 
Mi nime update lakini hiyo sehemu ya ku add account mpya sioni zaidi ya kuona hizi channel tu!
 
View attachment 2788008

Siku ya Alhamic kampuni ya meta kupitia mtandao wa Whatsapp wameweza kutambulisha mfumo mpya wa watu kuweza kutumia akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.

Sasa utaweza kuunda akaunti zaidi ya moja Yani inawezekana akaunti ya biashara na ya kawaida Kwenye Whatsapp moja bila ku log out au kutumia Whatsapp mbili au kutumia simu zaidi ya moja.

View attachment 2788009

Kwaiyo unaweza kuunganisha namba zako mbili Kwenye Whatsapp moja kama ilivyo Kwenye Facebook, Instagram, telegram.

View attachment 2788010

we fanya hivi hakikisha umefanya update ya Whatsapp Yako Kisha
  • ingia "setting" Kwenye Whatsapp
  • ingia Kwenye "account" alafu tafuta
  • neno "add account" utaweza kuunganisha akaunti zaidi ya moja Kwenye simu.

View attachment 2788011

#whatsapp
Hii hapa mkuu Mpaji Mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom