Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Kampuni kongwe ulimwenguni Nokia wataweza kuachia simu mpya ya Smartphone aina ya Nokia 1100. Ni simu ambayo iliwahi kuachiwa zamani ila sasa wameamua kuifanyia mabadiliko kuwa ya kipekee.
Hata hivyo kampuni ya Nokia haijatoa taarifa zozote Nini kilichopo ndani zaidi kwenye hii simu lakini tetesi inasema Nokia wataweza kuachia simu aina ya Nokia 1100 mwaka 2024 ikiwa feature kadhaa ndani yake.
Ikiwa na inch 3.67 display pamoja na refresh nzuri na yenye kufanya vitu kuwa smooth.
processor yake itakua ni mediaTek Helio G95
Inakua ikiwa mfumo mpya wa Operating system (Os) ambayo hawajasema.
Betri lenye 7000mah ambapo linaweza kukaa na chaji kwa Muda mrefu bila kuisha wewe tu kupiga simu, kucheza games nk.
Inakuja ikiwa na kamera yenye 108mp Yani inatoa picha Kali kinoma huku kamera mbele ni 8mp unaweza tumia kwenye kurekodi video, kufanya live meeting bila shida yoyote.
Ni simu ambayo itauzwa kwa Gharama ya kawaida Kila mtu ataweza kununua kwani itauzwa kiasi Cha shilingi 390k mpaka 400k japo hakuna taarifa ya ziada iliyosema ni Tetesi tu.
#Nokia #NokiaSmartphone #Nokiamobile