Tetesi: ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ง๐—ผ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ถ๐—ฟ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜€๐˜€ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚.

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2825880

Watafiti kutoka chuo Cha Lanzhou University nchini China wamefanikiwa kutengeneza wireless chaji ambayo ni Salama itakayoweza kupandikizwa ndani ya mwili wa binadamu katika Miaka ijayo ulimwenguni.

Kupitia ripoti iliyotolewa na South China blogs imesema mfumo huu wa wireless unajumuhisha mfumo wa magnesium Coil ambayo itachaji kifaa chako ikiwa utagusanisha na ngozi yako Sehemu ambayo umeweka coil.

View attachment 2825881

magnesium Coil upokea energy kupitia Hybrid zinc ion super capacitor ambayo uhifadhi chaji Kama ilivyo nishati ya Umeme, tofauti na betri ambazo zenyewe uhifadhi nishati za kemikali.

Katika utafiti wao, watafiti kutoka chuo kikuu Cha Lanzhou walifanikiwa kuwafanyia majaribio panya kuona jinsi inavyofanya Kazi kuweza kuchaji simu ndani ya Muda wa siku kumi baada ya kupandikizwa.

View attachment 2825882

Teknolijia hiyo imeundwa kwa uwezo wa kuoza na kupotea baada ya miezi kadhaa bila kusababisha madhara yoyote. Pia watafiti wanasema chaji hiyo inaweza kutumika kama dawa na Afya.

Pia unaweza kuzitumia kuweza kutibu maradhi mbalimbali ndani ya mwili kupitia viungo tofauti tofauti vilivyopo mwilini kwa kuweza kusambaza dawa mwilini.

b3121962-be8f-45eb-9c8b-a94cc9922ea7_769c4edb.jpg


Usisahau kutembelea channel Yetu ya Whatsapp kujifunza mengi zaidi

View: https://www.instagram.com/p/C0HTlWKqb0c/?igshid=ODhhZWM5NmIwOQ==
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom