Wanasayansi wameleta sindano ya ugonjwa wa kisukari

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Wana sayansi Toka chuo Cha Stanford kilichopo Marekani wameleta Sindano yenye uwezo wa kupunguza Matumizi ya kutumia dawa za kisukari Kila siku au Kila baada miezi kadhaa.

Kisukari.jpg

Mimi sio daktari lakini najua ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa hatari ulimwenguni unamaliza sana watu Kila mwaka. Huu ugonjwa uki wa aina mbili kuna mamilioni ya watu wengi wanasumbuliwa na huu Ugonjwa ulimwenguni.

Watu wengi walikua wanalalamika juu ya dozi ya kisukari imekua na vidonge vingi ambavyo mtu ataweza kumeza kwa Kila siku ndani ya miezi kadhaa jambo linalopelekea wakati mwingine wagonjwa kushindwa kufuatisha Dozi walizopewa na kutomeza ndani ya Muda muafaka.

Timu ya wanasayansi Toka chuo Cha Stanford wameweza kuunda dozi ya sindano ya hidrojeli (hydrogel) ambayo ndani yake kuna dawa yenye uwezo wa kukaa miezii minne kwa mgonjwa wa kisukari inampa nguvu mgonjwa kuacha kuchukua dawa za kumeza zile za Kila siku.

Sindano hiyo ambayo ndani ya mwaka mmoja unachoma mara tatu kwaiyo ndani ya Miaka mitatu utakua umechoma sindano Tisa tu kuliko kutumia vidonge vingi ambayo vinaumiza.
 
View attachment 2823704

Sindano sio suluhisho la kutibu maradhi ya kisukari wana sayansi hawana dawa ya kutibu huo ugonjwa wa kisukari hiyo ni biashara ya wazungu. Sidnano haisaidii kutibu huo ugonjwa wa kisukari. Dawa ya kutibu hayo maradhi ya kisukari ninayo kwamtu mwenye kutaka kutibiwa hayo maradhi ya kisukari anitafute mimi nitampa dawa zangu atatumia siku 90 aka miezi 3 atapona kabisa maradhi yake ya kisukari.

THE MINERAL THE PANCREAS NEEDS (DR SEBI)​

View: https://www.youtube.com/wat
 
Katika watu ambao siwezi kwenda ni kwa hawa watu wanaojiita Herbal Clinic ni wafanyabiashara zaidi ya wazungu. Dozi moja unaambiwa 100,000 halafu unatakiwa utumie dozi 5.
Hiyo dawa yako kwa dozi kwa kukisia tu ni 150,000
 
Back
Top Bottom