Hii inamaanisha nini?

Hii inamaanisha nini?

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
852
Reaction score
204
Kwa isiwe kwa Watanzania au wengineo pia?!
20231127_102747.jpg
 
Asia kwa hesabu haswa india ,china na korea wanajua sana hesabu na ishu za biashara ipo kweny damu.
 
Wahindi wapo vizuri sana mathematics na IT, Computer programming, engineering ya makorokoro kibao ya technology n.k na hayo mambo bila hesabu hutoboi...

Kingine, India population ni zaidi ya 1.42 billion yaani kuna Tanzania zaidi ya 21 kwenye India na wasomi wa mambo ya technologies jobless ni wengi kule..
 
Wahindi wapo vizuri sana mathematics na IT, Computer programming, engineering ya makorokoro kibao ya technology n.k na hayo mambo bila hesabu hutoboi...

Kingine, India population ni zaidi ya 1.42 billion yaani kuna Tanzania zaidi ya 21 kwenye India
emoji16.png
na wasomi wa mambo ya technologies jobless ni wengi kule..
Hao jamaa ni hatari kuna yule dogo kwenye America's got talent alikuwa anasema yeye ni human calculator 😆😆


Anajibu fasta mpaka point ndani ya sekunde hata umwambie 5700×689.
 
Back
Top Bottom