๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Whatsap wako Kwenye Majaribio ya kuleta uwezo wa watu kuficha utambulisho wao Kwenye Whatsapp.

Whatsapp wanaongeza ulinzi kwa kuleta feature ya kuzuia watu kujua location yako wakati unatumia hiyo program Kwenye simu.

Ni feature mpya itapatikana Kwenye setting >> privacy>> advanced mtu atakua na uwezo wa kuficha utambulisho wa ip address Kwenye calls ili kuzuia watu kujua anaongea na simu akiwa maeneo gani na kufanya mtu hawe salama.

whatsappads%20%E2%80%93%201.jpg


Feature hii inampa uhuru mtumiaji wa Whatsapp wakati anaongea na simu kupitia Whatsapp kwa namba ngeni kujulikana yuko wapi hivyo inakua ngumu watu kuweza kumfuatilia na kumjua yuko wapi kupitia Whatsapp.

Kwa Sasa hii feature inapatikana kwa baadhi ya watu kadhaa wanaotumia Whatsapp kupitia soko la play store na app store hakikisha umefanya update.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom