Starlink amepata mshindani Afrika Kusini

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2827358

Kampuni ya mawasiliano ya simu nchini south Paratus wameshirikiana na waendeshaji wa Satellite ya Eutelsat wametangaza huduma ya mtandao wa satellite wa One web low Earth Orbit (Leo) nchini Afrika kusini.

Kampuni hiyo imesema huduma hiyo itawezesha watu kuweza kupata intaneti yenye Kasi kubwa kwenye maeneo ambayo mtandao unasumbua Yani kwenye maeneo ambayo mitandao ya simu inasumbua au haifanyi Kazi.

View attachment 2827359

Afrika kusini inakua nchi ya kwanza kuweza kupokea huduma hii kwenye bara la Afrika kupitia Paratus wakishirikiana Eutelsat , japo Wana mpango wa kusambaza hii teknolijia kwenye nchi zaidi ya 35 bara la Afrika.

Huduma hii inaweza kuvutia sekta mbalimbali za biashara zinazofanya Kazi nchini afrika kusini kuanzia Afya, maji, Serikalini madini kilimo, utalii nk. Tofauti ya Starlink satellite na OneWeb kwenye ufanyaji Kazi.

OneWeb%20%E2%80%93%202.jpg


OneWeb Inafanya kazi umbali mpaka kufikia kilometa 1200km juu ya Uso wa Dunia wakati Starlink yenyewe ni kilometa 550km. Pia OneWeb anatumia parabolic dish (yenye muundo wa Duara) wakati Starlink inatumia rectangle phased (mstatili).
 
Ina maana ping yake itakua mbovu kushinda starlink. Sema kibongo bongo Bei ndio muhimu zaidi.
Yes hata mimi nmewaza kwenye swala la ping hapo... Ila nahisi hii itakua even cheaper than ya StarLink ili kuleta ushindani zaidi.. Ila kibongo bongo unaweza shangaa tena majority ikashindwa ku afford gharama..
 
Elon aliikimbia Africa. Kuna wanaume wanabreak popote. Hio kampuni itakuwa ya kipeke. Africa haina infrastructure nyingi ika wanasansi hawakatu tamaa.
Anayofanya Elon mengi tatafanywa Africa na kumstahaabisha kumbe hata Africa unaweza fanya jambo likakua.
Nategejea AI car zitaanzushwa,AI robit company zitaanzishwa, hyperloop research zitaanzushwa.
Nimepitia you tube nimeona mkenya mmoja anafanya research za kurusha rocket kama hoby ila sasa hivi anataka kuanzisha kampuni za kurusha satelite angani, jamaa anakipaji sana. Africa kuna vipaji vikubwa ila hamasa ni ndogo.
 
Back
Top Bottom