Coding ni nini?

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
298
542
Habari!

Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa.
Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba.

Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha ushamba wao mimi huwa sifichi ushamba wangu kwa kile nisichokijua hasa nikihisi kitu hicho kina manufaa.

Neno coding siyo geni masikioni mwangu na ninahisi ni kitu muhimu sana kutokana na namna kinavyotajwa. Basi leo ningependa nami nipewe elimu kidogo Kuhusu coding.

Coding ni nini?
Ina faida gani katika maisha?
Ugumu na urahisi wa kujifunza coding ni wa kiwango gani?
Wataalamu naomba kueleweshwa nimechoka kukumbatia ushamba.
 
Ni unadishi wa programu za computer simu na vifaa mbalimbali kwa kutumia lugha za uandishi wa program kama python, c++, java, javascript, c#, php, na kadhalika.
 
Code ni lugha ambayo tafsiri yake ni kwa mlengwa tu! Wengine wanaweza kusikia au kuona lakini wasijue maana!
Kwa mfano! Wataalam wa kuandika lugha ya computer wanaandika "code" ambapo huyo mtaalam na hiyo computer wanaelewana, lakini mtumiaji aelewi ampaka atafsiriwe.
Mfano mwingine ni mawasiliano katika majeshi wanapokuwa vitani au hata katika mawasiliano ambayo adui hatakiwi kujua hutumia "code" ili hatakama adui atapata maandishi au sauti asiweze kujua.
Mfano mwingine ni Biblia. Maandishi yaliyo kwenye Biblia yako "coded" huwezi kuyaelewa kwa akili ya kibinadamu

<Mleta hoja alitaka kuelimishwa kwa lugha nyepesi! Msimchanganye. Hata maana ya code kwenye kamusi inasema hivi ...."

Trubetzkoy
Screenshot_20231229_210136_Google.jpg
 
Trubetzkoy Kuna uzi hapa chini wa coding (programming) pitia. Ushamba mzigo, kataa ushamba.
 
Kiiukweli utapata watu watakuelezeA vzr ila ukitaka kujifunza neenda w3school huku ukiangalia yooutube
 
Code ni lugha ambayo tafsiri yake ni kwa mlengwa tu! Wengine wanaweza kusikia au kuona lakini wasijue maana!
Kwa mfano! Wataalam wa kuandika lugha ya computer wanaandika "code" ambapo huyo mtaalam na hiyo computer wanaelewana, lakini mtumiaji aelewi ampaka atafsiriwe.
Mfano mwingine ni mawasiliano katika majeshi wanapokuwa vitani au hata katika mawasiliano ambayo adui hatakiwi kujua hutumia "code" ili hatakama adui atapata maandishi au sauti asiweze kujua.
Mfano mwingine ni Biblia. Maandishi yaliyo kwenye Biblia yako "coded" huwezi kuyaelewa kwa akili ya kibinadamu

TrubetzkoyView attachment 2856866
Asante sana kwa ufafanuzi huu
 
Hapa pia nilitaka kufahamu ukishaijua hiyo coding unawezaje kuitumia katika maisha ya kawaida (application yake katika maisha ya kawaida)
Application yake katika maisha ni kutatua changamoto za watu kupitia coding.
Mfano mpesa imetatua utumaji na upokeaji wa pesa na kulipia huduma nyingi ambazo awali zilihitaji mtu akapange foleni.
Mifumo ya serikali now unaweza jisajili soma taarifa za vitu kadhaa vya kiserikali mtandaoni hiyi no coding.
Hapa tuko tunajimwaya mwaya jamiiforums hii ni coding.
Unatumia apps kama instagram hiyo ni coding.
 
Hapa pia nilitaka kufahamu ukishaijua hiyo coding unawezaje kuitumia katika maisha ya kawaida (application yake katika maisha ya kawaida)
Unaweza kuunda software yoyote ya kutumika offline au online, unaweza kuunda website yoyote, application yoyote na mengine mengi yanayohusiana na IT

Hata hivyo dunia ya sasa huhitaji kujua code ili kufanya hayo yote

Wapo wataalamu wanaunda software zinazoweza kuunda software nyingine bila kuhitaji kujua coding, wanaita What You See Is What You Get (WYSIWYG)

Code ni mambo ya kizamani na yanapoteza muda
 
Back
Top Bottom