Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili

Jay47

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
294
284
Habari za muda huu?

Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili

Canon 5D Mark II na Canon 750D

Ipi nzuri, kwa matumizi ya picha na video shooting,

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu kwasasa ukitaka kuwekeza kwenye hiyo biashara au matumizi yakwako binafsi kwa video, picha zingatia na vofaa hivyo ni vya mwaka gani na technologia yake..

Hiyo 5d mark ii ina zaidi ya miaka 10 huko.

Unaweza jikuta umenunuwa camera kwa bei kubwa lakini uwezo wake huwezi linganisha hata na hizi flagship smartphone
 
Habari za muda huu..?
Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili
Canon 5D Mark II na Canon 750D
Ipi nzuri, kwa matumizi ya picha na video shooting,
Natanguliza shukrani.
5d Mark II haijawahi kuchuja.. Chagua lens zako nzuri + ubunifu utanishukuru baadae mkuu. Ingawa ni model ya zamani ila imefanya makubwa sana.. Binafsi bado naitumia na naipenda daima.
 
5d mark ii , itakufaa Kwa picha Kali na videos zenye quality nzuri
 
Mkuu kwasasa ukitaka kuwekeza kwenye hiyo biashara au matumizi yakwako binafsi kwa video, picha zingatia na vofaa hivyo ni vya mwaka gani na technologia yake..
Hiyo 5d mark ii ina zaidi ya miaka 10 huko.

Unaweza jikuta umenunuwa camera kwa bei kubwa lakini uwezo wake huwezi linganisha hata na hizi flagship smartphone
Cha msingi apo anunue mpya na sio used,
Anunue 5d Mark ii.
Kuhusu swala la video production Kwa upande wa vifaa NI ghali Sana Kama ukitaka kwenda na technologiya and quality of the product
Afanye kile anachoweza Ku afford.🙏
 
5d mark ii mpya atapata wapi?, maana ipo discontinued? Labda unazungumzia refurbished, au used kutoka nje?
 
5d Mark II haijawahi kuchuja.. Chagua lens zako nzuri + ubunifu utanishukuru baadae mkuu. Ingawa ni model ya zamani ila imefanya makubwa sana.. Binafsi bado naitumia na naipenda daima.
Mtalaam mm binafsi nilifuata ushauri wako
Kiukweli hii kitu ni haichuji na bado bei yake ipo juu sana sokoni imahine camera ya 10 yrs back lkn bei yake ni 1.8 M., Sasa naomba kukuuliza mtalaam ov ipi ni lens nzuri kwa pivha kali zaodo maana mm nimechukia lens ya 50 mm 1.8 lkn naona zooming haiwezi kwa pocha za mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom