Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,775
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.

1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.

In short apple complicates everything.
 
iphone inaududu mwingi sana sema wewe ni wa kitambo umechakaa mzeee ....Very easy to use iphone but very complex kwa watu wenye utoto mwingi maana inaitaji akili tulivu kufanya utoto kwenye iphone Over !!

Am out

Kwamba wamiliki iphone hawapendi utoto.

Kuna watu wana utoto kama watu wa iphones??
Mfano hapa badala ya kumuelekeza number raws inakaa wapi ktk keyboard umeishia kujishebedua tu!!!!iship ni kama ng'ombe.

Zipo dosari nyingi tu za msingi ambazo ni kama kutopata option ya kutuma sms moja kwa moja kwenye namba mpya uliyoiingiza ktk dialling screen mpaka uipige iingie kwenye history au uisave kwanza,huu ududu najua huujui sababu unachojua ni kujipiga picha chooni tu.

Lingekuwa tatizo ni la android kungekuwa na watu kibao wameshamuelekeza.
 
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....

Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu

Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
 
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.

1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.

In short apple complicate everything.

Ndio mara yako ya kwanza? Una transition kutokea brand gani?
 
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....

Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu

Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android

Labda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
 
iPhone simu za maonesho sana ''show off'', complications kibao, limited access kwa baadhi ya apps hata watumiaji wake wengine baadhi ya app hawajui kuzitumia....

Ukiwauliza sanasana watakwambia tunaipenda kwa sababu ina security nzuri... Suala la Camera, RAM/ROM, Performance na vitu vingine ni za kawaida sana siku hizi kuna simu kali za ANDROID ukilinganisha na ''Aifoni", iPhone anakaa chini vizuri tu

Wale wa ios na apple najua mtakuja kunishambulia hapa ila ukweli ndio huo, nilishatumia hadi i14PM sijaona jipya nikaona nirudi zangu Android
Ni kama ka prison kadogo hivi.
 
From samsung, so much feature and interface design, apple ni msanii mbovu mwenye ngekewa

Ume judge haraka sana, take your time
Mm natumia both samsung na iphone at same time.
Kama ulitoka samsung ukadhani feature zake utazikuta kwa iphone you will be dissapointed. While iphone ina advantage yake maeneo mengine

My advice take time kuitumia you will discover kuna vitu iphone inavyo samsung hana
 
Back
Top Bottom