H-K
Senior Member
- Nov 7, 2014
- 106
- 23
Wasalaam Wakuu,
Naomba kujua ni vipi unaweza kutumia handset yako kuchangia humu JF? Kwa mfano mimi natumia TECNO H7 smartphone lakini nashindwa kutumia effectively JF zaid ya kusoma tu, sasa kuna wakati mtu unakua mbali na PC yako au upo mazingira yanayokubana kutumia Computer, So tupeane ujuzi namna ya kutumia hizi smartphone
NB: No need of Niggling over Mobile Phone Brand