Nawezaje kuwalipa kwa wakati mmoja kila mmoja apate sms ya muamala

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,025
3,461
wakuu kwema

msaada kwenye tuta,nina vibarua kama 100 nimepewa jukumu la kuwalipa kila siku baada ya kazi kuisha waliorodhesha namba zao kwahyo kila ikifika saa 10 kila mmoja anatumiwa pesa yake (ni makubaliano waliyowekeana)

sasa imefika hatua nachoka naomba kwa wenye uelewa nawezaje kuwatumia watu 100 ujira wao wote wakapata sms kwa pamoja ikiwa natumia M-pesa.
 
Umeshawatengenezea fursa makampuni ya simu kesho tu utasikia wamekuja na app ya vibarua
 
DISBURSEMENT ACCOUNT

Avoid the painful process of disbursing money to large numbers of people one at a time. With an M-Pesa disbursement account your business can disburse money in bulk in a fast, convenient and secure manner.

Pay salaries, allowance, dividends, loans and more directly to recipient's wallet.

For more information email: m-pesabusiness@vodacom.co.tz
mkuu kwa uzoefu wako kuna cost zozote zinahusika katika kufanikisha zoezi hilo?
 
mkuu kwa uzoefu wako kuna cost zozote zinahusika katika kufanikisha zoezi hilo?
Mimi nina collection account (kinyume na yako yaani unapokea malipo kutoka kwa watu wengi).

Hii sikutumia gharama kuifungua japokuwa nilihitajika kuwa na certificate ya registration ya biashara, extract from the registrar, TIN na leseni ya biashara.

Hakuna gharama nyingine. Japokuwa sikufanya mimi mchakato huo. Kuna kampuni ilinikodisha software fulani ndio kila kitu wana intergrate wao wenyewe, mimi niliwapa docs tu.
 
Back
Top Bottom