Nawezaje kufungua msg za facebook kwa kutumia email yangu?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
wakuu wataalam wa tech, je nawezaje kusoma text au jumbe zilizotumwa kwene account yangu ya Facebook kupitia Email?

Zamani sana nilikuwa naweza kusoma ujumbe kupitia email notification bila kuingia FB, sasa hivi siwezi wanaleta notification ukitaka kusoma wanakutaka na download messenger au ulog in!

Sijui kipindi hiko niliset wapi, wataaalam mnisaidie.
 
Back
Top Bottom