Simu ipi ya samsung a serries ni bora kati ya a33 5g na a345g

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
244
Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa kwenywe camera,ram,rom,na vingine mfano android version na kama ina update version.
 
Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa kwenywe camera,ram,rom,na vingine mfano android version na kama ina update version.
Hapo automatically itakuwa bora new apdates tu A34
 
Assume zote Bei sawa A34 ni nzuri zaidi.

A33 imebadilishwa kidogo Sasa hivi inaitwa A25 so Haina thamani Tena ya laki 7.

Pia kutoka Note 8 (flagship) kwenda A34 midrange usitegemee transition kuwa smooth Kuna vitu kama performance na Ukataji chaji vitakua vyema sana kwenye A34. Pia A34 itapata updates nyingi miaka 4 ama mitano toka Sasa. Ila upande wa display na Camera pengine note 8 Bado ikawa vizuri.
 
Sijui kwanini nachukia simu zenye chip ya Mtk au Exynos, ila ningekuwa mim ndo mnunuaji ningenunua Samsung hii nayo ni latest A05s(A057F/DS) komesha ya wezi. 😂 Na wakiiba labda wakauize nje ya Nchi.
 
Huwa naielewa sana chip ya Snapdragon. Ukiiba labda uitoe password tu ila vingine hugusi. Na simu zangu zote huwa natumia chip ya Snapdragon sababu niliwahi kupoteza simu mbili na zote nilizipata.
Mimi sio mjuzi ila nimevutiwa na ulichokieleza kuhusu samsung a05s na kwa vile nahisi kuiumudu kuinunua nahitaji unidadavulie kiundani kidogo ili hata nikifanikiwa kuinunua niwe na amani.
 
Asanteni sana sana j.f nimekuwa nikipata msaada sana katika forum hii.ninapokuwa na jambo linanitatiza kuhusu maswala mazima ya kitevhnolojia nakuja hapa.huwa nataman nilipe ada walau hata 10,000 kea mwaka lkn sijui utaratibu ukoje.najikuta tu naacha.il a jf msaada sana ,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom