Masaada: Kwenye maswala ya internet (IT)

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
845
1,925
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 ni ndogo sana Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER,REPETER, TP LINK kanitajia majina mengi ili iweze kupush umbali walau wa mita 100 au 200 sasa Mimi mgeni wa ivi vitu…

Kama kuna mtu anajua izi mambo anielekeze au anauza ivo vifaa Anipigie 0676444333 Ikiwa ni fundi itapendeza zaidi….

MAOKOTO YAPO…

Nawakilisha….
 
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

JF ni DUBWASHA KUBWA watakuja
 
Unaweza ukafunga Long Range Access point lakini nahisi Kuna uvunjaji wa sheria ndani yake
 
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 ni ndogo sana Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER,REPETER, TP LINK kanitajia majina mengi ili iweze kupush umbali walau wa mita 100 au 200 sasa Mimi mgeni wa ivi vitu…

Kama kuna mtu anajua izi mambo anielekeze au anauza ivo vifaa Anipigie 0676444333 Ikiwa ni fundi itapendeza zaidi….

MAOKOTO YAPO…

Nawakilisha….
Huyo jamaa aliye kuambia akusaidie maana anaonekana anajua.
1. Kama router yako ina sehemu ya kuchomeka RJ 45 unaweza sambaza kwa kutumia ethernet na unanunua swith ndogo ya port nne na itakubidi ununue router nyingine, ila hizo router za ziada ndo zitakusaidia kusambaza eneo lote na haziitaji kuwa na kifurushi maana zinakuwa zinatoa internet kutoka kwa hiyo ulio nayo sasa kwa kutumia njia LAN (local area network).
NB: routers zinatofautiana uwezo zingine zina uwezo wa kutumiwa na vifaa 15, 45, 60 na kuendelea.

2. NOTE :kama soko lipo tumia fulsa upige walau hata hizo hela za kubrashia viatu. Mengine yatakayo tokana na ujasiliamali wako yanazungumzika mbele kwa mbele
 
Naweza kujuaje kama hii router ni ya uwezo wa watu 60 au zaidi?? Au pungufu?? Kifupi ni namna ya kujua idadi ya vifaa vinavyoweza kuwa connected kwenye router naangalia wapi??
 
Download manuals za device husika huwa zina details hizo
 
Pia baadhi ya routers zimeandikwa details hizo za capacity ya devices zinazoweza kua connected at once either kwa box lake juu ya lebo ya router yenyewe au kwenye manual guide..
Download manuals za device husika huwa zina details hizo
 
1. Hiyo router sidani kama inaweza kubeba watu 60 kama wanavyokuambia 20-30 maybe na bandwidth haitatosha hata hao kutumia kwa pamoja.

2. Hautaweza kurusha kwa umbali huo, hata ukitumia kifaa chochote kurusha kwa umbali huo simu/komputer havina uwezo wa kurudisha kwa umbali huo wifi inahitaji 2 way communication.

3. Kuna uwezekano utakiuka sheria pamoja ya kwamba Wifi haiko kwenye licensed spectrum nadhani unaweza ukawa unaoperate "kampuni ya mawasiliano" ambayo inahitaji kibali maalumu.
 
Wakuu nahitaji msaada kwa mwenye ujuzi na uwelewa wa hii kitu…

Nimefunga Router Ile ya WIFI Nimeifunga Dukani kwangu Nia na madhumuni Nisambazie watu ili nipige walau buku buku kwa kila mtu,Naweza conect mpk watu 60+ Kampuni ni Airter…

Sasa tatizo Haifiki umbali mrefu Yani Mwisho ni Mita 15 tu na mimi Ninahitaji kusambaza Umbali zaidi Ili wapate huduma yangu..Mana kwa mita izo 15 ni ndogo sana Ila umbali ukizidi kuna sehemu ina watu naweza pata hata watu 100…

Kuna jamaa ameniambia ninunue sijui EXTENDER,REPETER, TP LINK kanitajia majina mengi ili iweze kupush umbali walau wa mita 100 au 200 sasa Mimi mgeni wa ivi vitu…

Kama kuna mtu anajua izi mambo anielekeze au anauza ivo vifaa Anipigie 0676444333 Ikiwa ni fundi itapendeza zaidi….

MAOKOTO YAPO…

Nawakilisha….
kufanya hio business ili upige izo buku buku unaweza jikuta unatoa $10000 apo TCRA kama fine , sheria yao hairuhusu ,

Ila ku extend kwa matumizi yako binafsi its fine
 
Back
Top Bottom