PaulMbuzimbili
New Member
- Aug 4, 2021
- 1
- 0
Nilinunua mini fuel pump kutoka china kwa malengo ya kuanzisha kituo kidogo cha uuzaji wa mafuta huku vijijini ninapofanyia kazi.
Nimekumbana na tatizo la kwamba hii mashine ilitengenezwa kwa ajili ya kuuza mafuta kwa bei ya china tu, kwa maana ya kwamba katika issue ya kuset bei ya mafuta (price per unit) maximum price yake ni 999.999 per liter, ambapo bei ya mafuta huku ni sh. 3400 kwa lita moja, ambapo hii mashine haiwezi kuiandika hiyo bei kutokana na setup zake, hivyo nahitaji kama kuna mtu anautaalam wa kuifanyia reprogramming ili iweze kuandika hiyo bei, naomba anisaidie kwa hilo.
Namba yangu ni 0755634416