Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za wakati jukwaa, Naomba msaada kwa wenye uelewa jinsi ya kufanya deposit kwenye account ya perfect money.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Advantages: you can carry a mobile phone with you so you don't miss important calls if you are lost, you can call for directions. if you are in an accident, you can call the police or ambulance...
1 Reactions
2 Replies
15K Views
Wakuu naombeni msaada computer yangu imezingua yaan nikeiwasha feni zake zinazunguka kwa Kasi sana but kwenye kioo hai display chochote yaan hata taa zake hazioneshi kama computer imewaka sijajuwa...
2 Reactions
2 Replies
508 Views
Nahitaji msaada ni jinsi gani naweza kurudisha message na call zilizofutwa kwenye simu yangu Msaada tafadhali nitrate hatua zipi
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Mwenye kujua utatuzi wa hii changamoto au fundi mzuri wa kurekebisha hili tatizo hapa dsm. Home theater inawaka mwisho inaleta ujumbe d protection.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
WHATSAPP BOT Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot. BOT FEATURES 🤖 Auto View Status 👉Hii utaview status ata...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Heshima kwenu wadau. Naomba kuuliza kuhusu Poweramp Player kama kuna mtu ambaye amewahi kulipia hii Player anipe maelekezo kidogo. Naweza kulipia kutokea kwenye account yangu ya benki Moja kwa...
3 Reactions
59 Replies
2K Views
COMPUTER LITERACY UTANGULIZI KUHUSIANA NA COMPUTER Nini maana ya computer Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo...
3 Reactions
15 Replies
13K Views
Mada Software Development Mwelekeo wa tasnia ya kutumia kutekeleza program yako 1. Ama. Web development 2. Mobile App development 3. Ama Desktop App development 4. Ama Analytics Systems N.k -...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mafunzo ni online vigezo uee na computer, ujue kusoma na kuandika
1 Reactions
5 Replies
454 Views
Heri ndugu. Kama kuna mtu ana Kaspersky,nahitaji
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama wewe ni mfuatiliaji wa Tech basi hili neno umeshakutana nalo mara nyingi sana "iSheep" Huwa sipendi kulitumia kwa sababu naona kama ni offensive word ila kwa teknolojia ilipofikisha wateja...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?
2 Reactions
10 Replies
978 Views
Wakuu kama nilivyoandika kwenye title, je madj kama juma khan, mark na murphy wanatumia software zipi kutafsri movies?
2 Reactions
1 Replies
429 Views
Habari naomba kuuliza nina decorder ya Azam tv resolution inayosoma kwenye hdmi niliyonunua dukani ni 1080i na quality ya picha sio nzuri ,, Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
1 Reactions
9 Replies
744 Views
Bei yake ikoje??
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwema wazee? Nataka nifanye connection ya cpe kwa umbali wa km 1. Baada ya kufanya research nimeona kuna hivi vifaa wanaita cpe mfano tp-link cpe610 ambazo kuna hizi kampuni za kutoa huduma ya...
2 Reactions
7 Replies
655 Views
Naomba kusaidia, app ya CRDB Simbanking hakioneshi kitu nilipoi update hii toleo jipya. Kila Niki install ,nikifungua inaonesha blank.
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Back
Top Bottom