GB WhatsApp mambo yamebuma

Sijawahi kumuelewa mtu anaetumia GB WhatsApp.

NA KAMA NI DEMU NIKIGUNDUA ANATUMIA GB NAMPIGA CHINI HARAKA SANA!.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mimi sio mtumiaji wa Whatsapp tofauti na official,

Ila binafsi huwa namuona mtu anayeponda mtu ambae anatumia whatsapp tofauti na official ni kama hajielewi.

Watu wana machaguo ya huduma wanazozipenda, Kwanini uwe na mentality mbovu kuhusu machaguzi yao ?
 
Hapo ukimuuliza, mtu mwngn akitumia unofficial wasap huku yeye akitumia official anapata shida gn.? hawezi kukujibu, hawa wanaoponda unofficial wasap huwa hawajitambui
 
Mimi sio mtumiaji wa Whatsapp tofauti na official,

Ila binafsi huwa namuona mtu anayeponda mtu ambae anatumia whatsapp tofauti na official ni kama hajielewi.

Watu wana machaguo ya huduma wanazozipenda, Kwanini uwe na mentality mbovu kuhusu machaguzi yao ?
Mkuu hivi ushaona mtu wa GB,YO na FM wanavyojikuta na hizo un-official zao issues sio machaguo issue ipo kichwani.

Kama ni issue ya privacy pia hizo (legal setting) zipo
Sio hizo za michongo na kuhuni huni.

Mm sifagilii hizo Apps kabisa yani utoto,ushamba wa kijinga tu (hapa mtanisamehe).

Nawasilisha.
 
Ukiona Mtu anatumia Gb ujue bado anaka utoto flan hv
Mfano mm natumia GB wasap, nyie ambao mnakuwa mnatumia wasap ya kawaida huwa mnapata changamoto gn.?
 
Back
Top Bottom