Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wakuu. Kama wengi tunavofahamu, swala la accounting na book keeping ni muhimu katika biashara za aina zote.Shida inakuja pale unapotaka kutumia software ili ikurahisishie mambo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada key za adobe master collection cs6 mwenye nazo aweke hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba anayejua fundi mzuri wa simu hapa dar anielekeze. Simu yangu imearibika spika kusikiklizana mpaka niweke loud. b'se bila hivyo siwez kusikia .. Shukran.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu mmoja amenunua pikipiki aina ya skymark, ni pikipiki za kichina na inakuja na redio. ili kuweza kuplay miziki kwenye redio yao inabidi utumie full sd card, kurahisisha mambo...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar jaman wana jf. Nina hitaj solar panel nzur na jins ya kuinstall. Kama kuna m2 ashawahi kununua please give me a technical advice.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kwa yeyote mwenye ujuzi wa Ku boost torrent iwe na speed zaidi anisaidie.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumia modem ya Huawei voda. Eneo nililopo kuna 3G lakini haina nguvu kama ya roaming network.
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Habari humu ndani. Nina huawei ascend Y300 nilikuwa natumia laini ya tigo siku zote ila leo nimejaribu kuweka laini ya voda nikaiwasha ila ikaniomba niweke PIN NETWORK UNLOCK CODE sikuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina simu yang Sumsung galaxy S3 nikiweka line network haipand ila inaonekana cm inasoma lin kuw ni tigo, tatzo ni network hukuchiz ya screen inaniandikia invalid IMEI-tigo Naomben msaada wenu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jamii kama sio ndugu yangu amenipigia sm ningearibu tv yangu, mm nilijua tv yangu mbovu kumbe ni kingamuzi cha star time kinazingua vp maeneo yenu hilo tatizo lipo ?
1 Reactions
24 Replies
3K Views
wakuu mwenye kujua namna ya kupata download code ya application ya smspeeper anisaidie nawasilisha!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Big changes are coming to Mozilla, as Google will no longer be the global default search provider for the Firefox browser anymore. Instead, Yahoo will become the default U.S. search option in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua gharama za ufungaji wa WiFi na vifaa navyo hitaji kununua,pamoja na internet service provider yupi yoko poa katika hili.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
natafuta Receiver kupata chaneli za canal+
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jioni. Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
King'amuzi changu ni cha star time ni lisaa sasa sioni chanel yoyote nini shida wakuu ni kwangu tu au ni tatizo la wao wenyewe?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naitajikuona ss1-9A kuna kifaa chochote cha kuweka niwezeonaKwa beinzuri ukiacha mamboyao ya 98.000
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman mwenye msaada..nina htc yangu kwakwel sasa hivi wiki, inaniandika airplane mode turning off, na imefanya network imekata kabisa..nmejaribu kuzima kuwasha stil the same...mwenye msaada jaman...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salamu wana JF. Mwenye kufahamu namna ya kuondoa hii browser ya kiarabu ambayo inasumbua sana tafadhal. Maana kila nikifungua browser inakuja by defaulty
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimeletewa iphones kutoka sweden, bt nimejaribu kuweka laini za tz zimekataa kusoma mtandao. tatizo ni nini, na nini ni tiba yake?
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Back
Top Bottom