Keyboard Warrior
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 985
- 2,885
Habari zenu wakuu.
Kama wengi tunavofahamu, swala la accounting na book keeping ni muhimu katika biashara za aina zote.Shida inakuja pale unapotaka kutumia software ili ikurahisishie mambo, lakini either unakuta ni very expensive au inahitaji mpaka mtu aje akufundishe ndo uweze kuitumia, which just complicates things.
So i want to solve that kwa kutengeneza an online accounting software, ambayo itakuwa affordable na ambayo pia its so simple kutumia.Basically nataka kutengeneza software ambayo itakurahisishia maisha and not complicate things.
So hapa ndo feedback yenu inahitajika,kwavile nyie ndo potential users wa hiyo software, je mngependa software kama hiyo iwepo? na pia features gani mngependa kuziona katika such a software?