Naomba ushauri kuhusu solar panel ?

nyano

Senior Member
Mar 8, 2013
129
122
Habar jaman wana jf. Nina hitaj solar panel nzur na jins ya kuinstall.

Kama kuna m2 ashawahi kununua please give me a technical advice.
 
Habar jaman wana jf.
Nina hitaj solar panel nzur na jins ya kuinstall.
kama kuna m2 ashawai kununua plz give me a technical advice.

Uko wapi na mahitaji ya umeme uliyonayo ni yapi (eg. TV ya ukubwa gani, taa ngapi etc)
 
Nipo dar ila ntahitaj kuisafirisha mkuu. Matumiz n kwa ajil ya taa km 3 na charging tu ya cm mkuu.

Unahitaji panel ndogo tu ya 30watts na dry cell battery ya 40watts. kufunga unaweza fanya hata wewe mwenyewe, unahitaji waya ya 2.5mm ambayo unafunga toka kwenye panel kwenda kwenye battery

kuhusu panel nzuri tafuta original brand, ungekua hapa Mwanza ningekuuzia hivyo vitu na kukufungia
 
Ahsante mkuu gharama zmekaaje kwa hyo... !
npo dar ila hom ni mwanza nnahtaji nchukulie hata apo mwanza kwa sab ntapta nkiwa naenda tarime.
plz nipe gharama yake tafadhar..!
 
Nipe namba yako nitakutumia bei, pia kama ni mwenyeji wa tarime tutaongea kuhusu issues nyingine maana nahitaji kwenda tarime kutafuta masoko ya kazi za IT. namba yangu 0767659145
 
poa mkuu ntakutafuta sa iv 2
 
Back
Top Bottom