Kingamuzi cha star time kimezima

Kingamuzi cha star time kimezima

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,375
Wana jamii kama sio ndugu yangu amenipigia sm ningearibu tv yangu, mm nilijua tv yangu mbovu kumbe ni kingamuzi cha star time kinazingua vp maeneo yenu hilo tatizo lipo ?
 
Mi niliuza kama wiki 3 zilizopita sijui aliyenunua mambo yanaendaje
 
Even me no signal
Wanaweza kuwa wameunguliwa na mitambo kama kipindi kile!!
 
Kibo 10 hili jambo la escrow acc ahdari zake zinaanza kuonekana wamejua jumatatu mjadala unaanza sasa wamezima kungamuzi, chezea pesa ww? Wakizima umeme watu wamepania kwenda kwenye majenereta
 
Hata kwangu.kimezima ghafla nikabaki nashangaa. Watutake radhi basi siyo kukaa kimya. Namshukuru Mungu nimegeukia kingine ingawa nimekosa isidingo. Hivi ni kwanini ITV hawajiungi kwenye DStv
 
Wanapunguza spidi ya kuenea kwa kashfa ya Escrow account!

Rudisheni pesa za Escrow tukanunue madawa hospitalini,MAJIZI MAKUBWA nyie!
 
Duh... hata kwangu. Nilikuwa naisubiria kwa hamu taarifa ya habari ya ITV ya saa 2, ghafla nimeona no signal.
 
mkuu kilikata mda mrefu sana nadhani kuanzia saa 12, kwangu imerudi hewani saa 2 na dakika 17
 
Bora mmenipa taarifa maana nlikua njiani kuelekea kwa jirani kuangalia T.V umasikini huu.Sijui nifanye harambee nami ninunue changu!?
 
Bora kizime kwa tatizo la mitambo ila kama ni hardware havina service, yaani kikiharibika ni kutupa tu.!
 
Back
Top Bottom