Nahitaji vifaa gani ili kufunga wirless internet kwenye kampuni yangu ?

Nahitaji vifaa gani ili kufunga wirless internet kwenye kampuni yangu ?

geography

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
15
Reaction score
5
Naomba kujua gharama za ufungaji wa WiFi na vifaa navyo hitaji kununua,pamoja na internet service provider yupi yoko poa katika hili.
 
Naomba kujua gharama za ufungaji wa WiFi
na vifaa navyo hitaji kununua,pamoja na internet service provider yupi yoko poa katika hili.

Option #1 :
Lipia internet toka kwa kampuni lolote lile, then nitakupa kifaa unachoweka kwenye computer mojawapo yenye internet hiyo, halafu computer nyingine zitadaka wi-fi kutoka kifaa hicho.

Option #2 :
Lipia internet(ya cable) toka kampuni lolote lile e.g TTCL then nitakupa wireless router ya kusambaza internet.
 
Naomba kujua gharama za ufungaji wa WiFi na vifaa navyo hitaji kununua,pamoja na internet service provider yupi yoko poa katika hili.

Mimi ni installer wa VSAT satellite Internet connection, na WiFi hotspot billing networks.

Hiyo connection unahitaji kuweka wapi na wireless network ya aina gani?

Eg. Outdoor - wide coverage or indoor - domestic/office use
 
MKUU Alphonce.NET kama hutaona usumbufu nami naomba utoe maelezo na costs ya hizo wireless network zote mbili Outdoor wide coverage na Indoor - domestic/office use ili tuone kama tunaweza fanya biashara kuhusu vifaa hitajika, range zake na vitu vingine vyote muhimu.
Natanguliza shukrani mkuu.
 
Indoor natumia hotspot billing gateways (with built in WiFi router) ikiwa kuna mahitaji ya billing au kuhesabu matumizi ya users ulionao, pia advanced security (user aunthentication)

Outdoor natumia 2watts outdoor WiFi access points with 24dbi grid packs antennas au omni directional antennas depends on coverage needs. Hizi zina cover 500m kama una connect direct through a computer or other WiFi clients like tabs and phones

Pia ina connect up to 14KM kama una connect through CPE (client premisses equipment) yoyote yenye kuanzia 200mw with 20dbi directional antenna

VSAT satellite Internet solution:
Hizi natumia Ka band, na supply na ku install complete system, connection speed ni 3Mbps na billing plans ni volume based starting from 25GB/$300/Month

Coverage: everywhere within East Africa Regions

Back
Top Bottom