Nina ka DSTV changu nalipia 17,000

Nina ka DSTV changu nalipia 17,000

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,310
Reaction score
38,667
Naitajikuona ss1-9A kuna kifaa chochote cha kuweka niwezeonaKwa beinzuri ukiacha mamboyao ya 98.000
 
ivi iyo unaona Chanel ngapi? ile ya big brother ipo
 
Pdidy acha wizi mtumishi starehe gharama Lipa $80 upate raha zako zote.

Hata hivyo ukifanikiwa nishitue.!
 
Last edited by a moderator:
Itokeewapii Mpwa

Naona s9...citzn nk

Big nkalipie zaidi...loh
 
MKUU idawa

Mema ya nchi yaako dunian mbinguni mahesabu Si wote wanaosema escrow escrow ni waumini wa zito wengine Walitamanihako kaneema kawapitie kwakuwa kaliwaruka basi adhabu ya dhambi mauti Wahusika wajiandae....

ntakujuza mkuu mjini hapa akishindikani kitu
 
Mwl. ukowapiii

Mpwa subiri kichwa kiko transit
 
Naitajikuona ss1-9Akuna kifaa chochote cha kuweka niwezeonaKwa beinzuri ukiacha mamboyao ya 98.000

Maisha ya ss wasoweza kulipia DSTV Yamekua marahisi maana tumesaidiwa na watu wa Cable za mtaani unalipa 10,000/= kwa mwezi unakua na Uhakika wa kuona Mpira wa SS3 walau

Ila kwa hapa Dar ukisambaza waya tu unakamatwa kama yule Ally wa masatellite,Basi kumbe dawa yao nikufanya vitu wirelesslesly
Kwa kupitia TV1 CCcam unaweza kuangalia channel 170 za makaburu kwa mallipo ya kiasi cha <10,000/= kwa mwezi

Lakini hauwezi kutumia CCcam bila ya kua na receiver inayo support CCcam
Receiver zinazo support CCcam ni nyingi sana ila mm nakushauri nunua Qsat Q23G ikiwa na acamHD 1yr kuona DST> bure kabisa

NOTE:CCcam ni account yenye username na password inayokusaidia kuwa connected kwenye server ambayo ina uwezo wa ku transmit channel za DST>

Nauza Receiver za Qsat kwa bei ya 240,000/= ikiwa na 1yr AcamHD(Server ya kichina ya kugawa channel za DST<) ila siwezi kukushauri kununua Qsat bila TV1 CCcam Maana ntakua sikutendei haki kukuachisha DSTV ya 17,000/= afu ukajiunge na AcamHD

Hivo basi Qsat ikiwa na 1yr TV1 CCcam+ 1YR AcamHD( Double security) bei yake ni 330,000/= itakudai modem ya Huawei E173,E3131,E303 ZTE MF190


Kama budget yako ni ndogo hauwezi Dual security Ntakupatia AZFOX ikiwa na Gshare Lifetime server + 1yr TV1 CCcam kwa bei ya 250,000/= lakini itakudai Modem yoyote ile maana haibagui modem

Siku za karibuni nikipata mtaji naweza kutengeneza server ya Pay TV moja wapo ya hapa kwetu mengine sitotaja hapa nisijekutafutwa niliko :smile-big:

Bei zangu za CCcam ni 95,000/= 1yr DST>
55,000/= 3months DST>


Kama budget yako ni ndogo zaidi ntakupa Azfox na CCcam ya miezi mitau kwa 198,000/= ili uweze kuonja utamu

Mawasiliano nicheki +255753932250
 
Mkuu hebu nipe elimu ya hivyo vitu, vinafanyaje kazi plus convenience zake na faida. I might be interested and close the deal.
 
Mkuu hebu nipe elimu ya hivyo vitu, vinafanyaje kazi plus convenience zake na faida. I might be interested and close the deal.

jdcAJx.png
 
Back
Top Bottom