Naomba kutolewa ushamba kidogo juu ya 4G network ..ktk mambo hata:-
(1)Namna ya kuipata je, inategemeana na aina ya simu na uwezo wake?
(2)Je,ni maeneo gani ya Tz mtandao huu u aweza kupatikana...
Wana jf wenzangu,nimebahatika kupata li Tv langu sumsung led 40''2014 lenye clome kwa mbele sasa nalitafutia king'amuzi cha local walau chenye kiwango kdogo ili nilifaidi kwa raha mustarehe ili li...
Wakuu habari?
Nina shida moja simu yangu nikijaribu kusign in kwenye fb inagoma kabisa, ila niki konect simu yangu na Wifi yaani network ya nje inakubali kusign in. Ila nikitumia MB za simu ndo...
Naombeni msaada.
Nina motor ya 20HP ambayo nimeifunga katika kinu cha kusaga lakini motor hii imenisumbua sana. Kwanza nilikuwa natumia star delta starter lakini consumption ya umeme ikawa kubwa...
Nokia yatoa majibu kuhusiana na suala la iwapo itaendelea au itasita kuzalisha simu tena. Microsoft iliwahi kuchapisha madai ya Nokia ya kutozalisha tena simu za Smartphones baada ya kununua...
Kutokana na maombi ya wadau kwamba tuangalie namna gani tunaweza kuzibadilisha stabilizer za kawaida na kuwa voltage booster ili tu ifanye kazi ya kuongeza nguvu ya umeme kwa maeneo yenye umeme...
Habari zenu wadau wa science&tech naomba kujua kuwa notification alert kama nayo inakuwa kama notification za whatsapp au fb kwenye smart phone au inakuje?
Maana kama notification ndio nimeanza...
Wana JF naomba mwenye software ya ZTE Join Air au kama kuna software yoyote inayoalow one modem kucnnect na multiple line, anitumie kwa email hii engulwa@gmailcom
Nitashukuru sana
:horn:
Habari wakuu mi ni mgeni katika window 8 nime install kama kawaida kwa Ku-copy, Kama mnavyojua kununua c mchezo.
Naomba kujuzwa jinc ya kuactivate iwe genuine ya muda mrefu.
Coz inaandika your...
Habari
1.Ukitaka kuweka Wi-Fi kwa wahudhuriaji wa tukio mfano NYAMACHOMA FESTIVAL kwenye open spaces kama viwanja au ukumbi inawezekana kwa watu angalau 1000?
2.Vifaa au Resources za aina gani...
Naomba mwenye link iliyopo humu ndani ya jamvi inayohusu hii Windows aniwekee hapa sabau mimi sifahamu jinsi ya ku-search thread zilizopita. Nikipata na ile ya Windows 7 itakuwa vema wakuu...
katika hali isiyotegemewa leo asubuhi nokia wamezindua tablet ya android.
specs
-7.9-inch display IPS LCD 2048×1536 resolution display
-Gorilla® glass 3, Fully laminated zero air-gap...
Kuna watu kwenye hili jukwaa ukiwa unaomba msaada wa kudownload kitu wanakwambia tafuta Torrent, lakini kiukweli torrent haina maana kama hujui jina la software unayoitaka na pia kama haiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.