Nawezajekuongeza Speed ya torrent ?

Nawezajekuongeza Speed ya torrent ?

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Wadau kwa yeyote mwenye ujuzi wa Ku boost torrent iwe na speed zaidi anisaidie.
 
cheza na seeder na leecher, torrent yenye seeders wengi na leecher wachache basi itakuwa na speed kubwa. pia unaweza kuongeza tracker kwenye torrent yako incase umekuta torrent kama hio yenye tracker mwengine. kueka tracker right click torrent yako halafu nenda properties
 
Toa mfano wa hizo torrents maana na mimi nina tatizo hilohilo
 
Back
Top Bottom