Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
Kuna ndugu yangu mmoja amenunua pikipiki aina ya skymark, ni pikipiki za kichina na inakuja na redio. ili kuweza kuplay miziki kwenye redio yao inabidi utumie full sd card, kurahisisha mambo wanakupa na hio memory card kabisa.
Huyo ndugu yangu hakuipenda hio redio hivyo akaitoa na akanipa memory card mimi. Kwakua ni full memory card nikaona ni vizuri niitumie kwenye laptop yangu itanisaidia kuhamisha vitu. Ina muonekano kama huu
Nikaiweka kwenye computer kitu cha kwanza nikakutana na folder lina file linaitwa skypee nikakumbuka ni kirusi na watu wengi humu JamiiForums wanalalamika, kwa sababu huwa situmii ant virus ikabidi nianze kukitrace mwenyewe manually, kikawa hakionekani kwenye pc kabisa.
Jana jioni wakati natumia laptop yangu nikafungue proxifier ili nitumie proxy ndipo nikaona url ya ajabu ikiomba itumie internet connection
Hii url inatokana na process inayoitwa Autolt3.exe
na website inayowasiliana nayo ni superyou.zapto.org
port 86
Sababu natumia port 80 nafikiri ndio sababu ikashindwa kufanya connection
ikabidi niifuatilie kwa undani zaidi kwa kugoogle hio url nikaja kuconfirm kuwa ni malware na pia inatengeneza backdoor kwenye computer yako. kwa lugha nyengine huyo mmiliki wa hiko kirusi computer yako ikiwa online anaweza kuicomand anavyotaka wewe. mfano ku upload pic zako internet nk
Je kuna mtu alieathirika na hiki kitu? Kama ndio hivi vitu vilikaguliwa?