Naomba msaada wa kubadlisha default browser

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
191
Salamu wana JF.

Mwenye kufahamu namna ya kuondoa hii browser ya kiarabu ambayo inasumbua sana tafadhal. Maana kila nikifungua browser inakuja by defaulty
 
habari yako haipo kamili
hatujui unatumia pc au simu, hatujui ni browser gani hebu sema kila kitu kamili
 
Salamu.

Natumia Laptop internet ya WiFi, tatizo ni kwamba nikifungua browser yeyote najikuta inafunguka na hiyo website ya kiarabu na maelekezo yote yanakuwa kwa lugha ya Kiarabu. Nilitafuta suluhu kwenye Google nikakuta maelekezo ya kuiondoa kwenye browser ya Chrome kwa kuifuta kwenye option ya "manage search engine", hata hivyo nilivyojaribu kuifuta nikapata error message kwamba "This setting is enforced by your administrator". Mimi ndiyo mwenye LapTop na ndiyo Administrator sasa nimeshindwa kuelewa kwa nini nanyimwa haki ya kufuta.

Naamini nitakuwa nimejieleza vema.

Natanguliza shukran Chief Mkwawa
 
kama ni browser zote inamaana huyo ni malware kaka, hebu nenda control panel kwenye ku uninstall program kaangalie kama kuna program ambayo hujaiweka. pia unaweza download malware scanner
 
Ok ngoja niangalie
 
Back
Top Bottom