Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salaam wakuu, Nina android device yangu ( citycall mobile 930I) ambayo in a run kwenye SPD chip. tatizo nikwamba kuna some upgrades nilijaribu kufanya sasa kwa bahat process ikawa unsuccessful...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni application gani inayo weza kupata meseji anazo tumiwa mpnzi he/she, help jamani Mfano, mm natumia smartphone yeye anatumia simu ya kawaida
0 Reactions
1 Replies
937 Views
habari zenu wandugu anaehitaji ku unlock huawei ambazo zimeshindikana atumie hii software
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Ita cost shiling ngapi kutengenezewa app kama ya mtu binafsi au biashara?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu, Nililipia Dstv Premium miezi kadhaa iliyopita, baada ya hapo sikulipia maana channels ziliendelea kuonekana(hazikukata baada ya muda wa kifurushi kupita) ila jana zilikata, sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua Cccam gani ipo hewani na ni steable ifungue sports zote na swahili magic. Na vipi kuhusu Tv1 na Aonestar zimesharudi hewani naomba nijuzwe na bei kuanzia miezi 3 hata ukini pm sawa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba wataalamu mnisaidie maana napiga namba yao ya huduma kwa wateja eti haipatikani. Tatizo;;;; ninapoingiza vocha yangu na kumalizia na alama ya reli kama nilivozoea napata message isemayo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wanajamii Kichwa cha habari kinahusika. Natafuta karatasi za busines cards kwa ajili ya Epson P50 1. 350 milligrams au 2. 300 milligrams Nazihitaji Arusha, zikipatikana kwingibe pia...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Hii machine ya water filter nitapata wap au km bei pia km unajuaaa
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Natanguliza shukran wakuu, je kuna njia yeyote ambayo ntaeza kupata application itakayoeza kuonyesha video za youtube kupitia Blackberry za mwanzo kabisa blackberry curve?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale wataalam zaid wenye ufahamu wa ICT Mim ni mtumiaji mahiri wa simu usb cable katika simu na laptop yangu, pia natumia modern sana. Tatizo napata message hii. "usb devise not recognised...
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya ku edit biss key za IRIB kwenye decorder ya best hd 4u, nimehangaika nimekwama kabisa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imekua kero kwa watumiaji wengi wa vodacom kupata mb 8 tu ambazo ni chache mno ukilinganisha na 50mb walizokuwa wakitoa zamani, hizi mb 8 inabidi utumie kwa matumizi ya kawaida sana, kama unataka...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Hodi hodi humu wana jamii, jamani Leo nnashida naulizia bei ya nokia lumia 730 au 735 ntapata wapi na sh. ngapi. Nisaidieni.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mixxx is an open source computer program for DJing music. The software is specifically suited to the style of mixing known as beatmatching. Mixxx is cross-platform, natively supports...
1 Reactions
1 Replies
692 Views
Nina toshiba satellite A200 series. Inazimika ghafla,hata ungeiwasha vipi itazimika ghafla. Inawakaka,,inatoa logo ya window,ikifika inaposema "starting windows" itazima ghafla. Wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu niko Arusha nahitaji mzigo wangu nitakaoagiza from eBay ufike hapa nilipo kupitia DHL nafanyaje ili kufanikisha hilo?!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu! Kwa anayehitaji kupimiwa kiwanja au shamba na kujua ukubwa wa kiwanja chake tutamsaidia kwa gharama nafuu kabisa!!! Hapa naambatanisha picha mbili za mashamba...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wanajamii, tusaidieni watu tunaoishi huku mabonde kuinama. Ninategemea kuja Dar kikazi hivi karibuni. Nikiwa huko ninahitaji kununua TV flat screen ya inches 32. TV gani ni nzuri na inauzwaje...
1 Reactions
33 Replies
26K Views
hey nahitaji kununua rice-cooker lakin naomba kujua kama inaweza kutumika kukaangia chips na kukorogea uji
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom