Ndugu Chepe
Hakuna cccam account iliyo hewani kwa sasa.
Yatubidi kusubiri.
A1 na Tv1 bado ziko offline.
Kwahiyo kwasasa hivi nikitaka kupata dst channels ni account zipi zinazofanya kazi?
Avatacam naona wemerudi. Nina imani pia na Cccam watarudi hewani soon. Unaonaje Mwl??