Jifunze kutumia mb 8 za Vodacom kwa muda mrefu

Jifunze kutumia mb 8 za Vodacom kwa muda mrefu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Imekua kero kwa watumiaji wengi wa vodacom kupata mb 8 tu ambazo ni chache mno ukilinganisha na 50mb walizokuwa wakitoa zamani, hizi mb 8 inabidi utumie kwa matumizi ya kawaida sana, kama unataka ukae nazo kwa muda mrefu kidogo fanya haya:

zima auto-download ya videos, miziki na picha kwenye whatsapp

restrict background data kwa applications zinazotumia internet hata simu ikiwa idle e.g instagram, gmail

usitumie instagram wala youtube if you do this you wont last even 5 minutes

tumia opera mini kama unataka kubrowse internet maana inatumia data kidogo sana

kama kuna wifi ofisini / chuoni itumie pindi uwapo kwenye hilo eneo

kama utaona bado mb8 ni ndogo kazuge chuoni ujiunge kifurushi cha chuo kwa jero tu(*149*02#) kina mb za kutosha
 
Mimi nimeacha kutumia smartphone maana nilikuwa hata nikizima data turn off nakuta zote zimeyayuka kiajabu!ajabu natumia nokia symbion ni oldest but 8mb zinakaa almost a day.
 
kwa watumiaji wa Tigo ukiperuzi vizuri Menu yao Bado wana Mb 50, na Dakika 15 mitanda yote kwa tsh 500 tu
 
Mi niko karibu na saint john hapa naunga tu university promo mo MB8.
 
duh nilivoona heading nikajua kuna bonge la maujanja jamaa kagundua kutumia mb 8 km mb 800 duh! ngoja turudie za tochi tu maana airtel nao net slow km kobe
 
Voda ni silent killer na matapeli hata bahati nasibu zao hua sijaribu wamenikwangua sana mpaka line yao nikatupa Hameni huko mtafilisika..
 
Hivi mmefungiwa akili huko VODA sijui VODKA? Si muondoke?
 
Tigo megabox unapata mb 200 For 24 hrs achana hao voda...ila unanunua through Tigo Pesa
 
Xa hv dili ni unversity offer za tigo wiki nzima kwa 1500/= We jisogez maeneo ya chuoni afu ujiunge.
 
Imekua kero kwa watumiaji wengi wa vodacom kupata mb 8 tu ambazo ni chache mno ukilinganisha na 50mb walizokuwa wakitoa zamani, hizi mb 8 inabidi utumie kwa matumizi ya kawaida sana, kama unataka ukae nazo kwa muda mrefu kidogo fanya haya:

zima auto-download ya videos, miziki na picha kwenye whatsapp

restrict background data kwa applications zinazotumia internet hata simu ikiwa idle e.g instagram, gmail

usitumie instagram wala youtube if you do this you wont last even 5 minutes

tumia opera mini kama unataka kubrowse internet maana inatumia data kidogo sana

kama kuna wifi ofisini / chuoni itumie pindi uwapo kwenye hilo eneo

kama utaona bado mb8 ni ndogo kazuge chuoni ujiunge kifurushi cha chuo kwa jero tu(*149*02#) kina mb za kutosha
Nijuze jinsi ya kurestrict background data
 
Back
Top Bottom