wakuu naombeni msaada kuhusu DHL

wakuu naombeni msaada kuhusu DHL

Will Billy

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
299
Reaction score
385
Wakuu niko Arusha nahitaji mzigo wangu nitakaoagiza from eBay ufike hapa nilipo kupitia DHL nafanyaje ili kufanikisha hilo?!?
 
Hapo karibu na Stanbic arusha kuna ofisi ya DHL, ingia ndani onana na MIRAJI au DAVID watakusaidia,kama hawana hiyo service jaribu TNT wapo opposite na AICC DISPENSARY.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom