mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Wale wataalam zaid wenye ufahamu wa ICT
Mim ni mtumiaji mahiri wa simu usb cable katika simu na laptop yangu, pia natumia modern sana.
Tatizo napata message hii. "usb devise not recognised, nikiunganisha wifi na wireless ya laptop yangu message hutokea ikisomeka, device driver software was not successiful installed
Yaani hapa najaribu nipige hii window seven chini nirudi win 8