Wakuu poleni na majukumu!
Kwa anayehitaji kupimiwa kiwanja au shamba na kujua ukubwa wa kiwanja chake tutamsaidia kwa gharama nafuu kabisa!!!
Hapa naambatanisha picha mbili za mashamba tuliyopima na kujua ukubwa wake! Mnunuzi aliambiwa ni ekari 100 kumbe ni 60 tu! Hivyo angelipa ingekuwa imemgharimu!
Kwa sasa ofisi yetu ipo mbeya maeneo ya ilemi! Au tucheki kwa 0673 139 139. Email: nacttz@gmail.com
Gharama ya kila siku ya upimaji ni Tsh 50000 tu.
Karibuni sana!!!