Msaada: Luku haiingizi vocha

Msaada: Luku haiingizi vocha

bobezi

Member
Joined
Mar 10, 2013
Posts
63
Reaction score
11
Naomba wataalamu mnisaidie maana napiga namba yao ya huduma kwa wateja eti haipatikani.
Tatizo;;;;
ninapoingiza vocha yangu na kumalizia na alama ya reli kama nilivozoea napata message isemayo "Ic 002" nikisoma kwenye menu ya luku inanionesha ni "token crc error....jaman naombeni kwa anaejua naomba msaada
 
Kama meter yako ina Enter key jaribu hiyo insted of #


Naomba wataalamu mnisaidie maana napiga namba yao ya huduma kwa wateja eti haipatikani.
Tatizo;;;;
ninapoingiza vocha yangu na kumalizia na alama ya reli kama nilivozoea napata message isemayo "Ic 002" nikisoma kwenye menu ya luku inanionesha ni "token crc error....jaman naombeni kwa anaejua naomba msaada
 
Uwe mvulimivu endelea kupiga simu Tanesco!
 
Mie mita yangu ya luku nikimaliza tu kungiza namba huwa inaingiza umeme bila kufanya kitu kingine chochote. Hebu jaribu kufanya hivyo uangalie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom