deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, Mixxx is an open source computer program for DJing music. The software is specifically suited to the style of mixing known as beatmatching. Mixxx is cross-platform, natively supports most common music file formats, and can be controlled with MIDI and HID controllers.
Nimezoea kutumia Serato, Traktor, Redbox na Virtual DJ ambazo zinapatikana kwenye platform ya windows na mac. Nimejaribu kutumia Mixxx ambayo iko kwenye linux lakini naweza kuitumia kwenye PC only.
Kuna mtu ambaye ameshawahi ku connect hii software na DJing Controller yoyote akafanikiwa?