Nina toshiba satellite A200 series. Inazimika ghafla,hata ungeiwasha vipi itazimika ghafla. Inawakaka,,inatoa logo ya window,ikifika inaposema "starting windows" itazima ghafla.
Wakati mwingine,nikiipumzisha,,itawaka kabisa na kutoa audio ya kuwaka, kisha fan yake itasikika ikivuma sana,hapo itazimika ghafla tena.
Hapo mwanzo ilikuwa ikisumbua hivyo,nilikuwa naiwashia kwenye "Safe Mode" ilikuwa inawaka na hata niliweza kumalizia kazi zangu. Kwa sasa, hata kwenye SAFE MODE inakata ghafla na kuzima,inazima ghafla kama vile umeme umekatika,lakini wakati huo iko kwenye umeme.
Nisaidieni wana JF.