App gani inatumika kupata msg za mpenzi

App gani inatumika kupata msg za mpenzi

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
Ni application gani inayo weza kupata meseji anazo tumiwa mpnzi he/she, help jamani

Mfano, mm natumia smartphone yeye anatumia simu ya kawaida
 
Ipo ninayoijua inaitwa couple control ila ni lazima wote muwe nazo kwenye simu na siyo yeye akitumiwa wewe ndo uipate hata wewe ukituma ataipata
 
Back
Top Bottom