Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamvi kuna application nimetengeneza inaitwa ''masaba chat'' ila bado sijai publish kwenye play store wala amazon store sababu nikutaka kujua ubora wa application yangu na inaweza kusapot sim...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Hey Arusha folks, we will be meeting this Wednesday at AISE Tanzania in the Twende Workshop in Nanenane-Njiro, Arusha. If you are interested please be free to join us, you can bring your friends...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kujua na kufaham jinsi ya kutumia tethering and portable hotspot kwenye android ya 4.1.2 ukiwa hauna mb utumie mb za mwenzako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari jf! Naomba ushauri nifanye nini ili niweze kuzuia simu yangu tajwa hapo juu kutopata moto pindi napoitumia? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye nazo au moja kati ya hizo naomba anisaidie pls, napenda nizijifunze.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi kwa sasa niko Uganda napata kila wakati sms zinazonihamasisha kuangalia vipindi vya TV na link wananitumia ambayo ni hiiFahamu vichwa vya habari kwa wiki nzima katika KAPU LA TBC saa 7:00...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mmh! ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM), Nachukuwa degree ya ELECTRONICS & COMMUNICATIONS ENGINEERING, Ombi langu kwenu ndugu zangu ni kwamba kama kuna mtu anazijua au anaijua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mambo niaje ndugu zangu? Samahani nilikua naomba mwenye notsi au vitabu vya data structure and algorithm hata past papers zake au njia za kuelewa zaidi iyo topic. Ahsanteni.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari ndugu wana JF, Nashukuru kwa msaada wenu nilifanikiwa kuroot simu yangu Samsung i8268 kwa kutumia flamaroot baada ya kuroot nikaenda playstore kudownload ROM manager app lakini kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu msaada kwenye tuta kuupload picha au kuattach kwa kutumia windows phone, week sasa nimetoka kapa.
0 Reactions
1 Replies
933 Views
Naomba mnisaidie hichi kisimu nipate japo kusikilizia redio. Model:C1-01 Type:RM-607 CODE :059D9N8 IMEI: 358625043560632.
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Ninatumia android kwenye smartphone double line ambapo natumia line namba 1( tigo) kuaccess internet plus downloading apps from playstore sasa nawezaje kuongeza line namba 2 ( voda) ili niweze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu kwa anayejua anisaidie maana nmehangaika mpaka nmechoka
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wtaalam kwema? Jamani nisaidieni nina simu ya samsung galaxy ina tatizo la kuvibrate na kuleta ujumbe unaosema "Kernel don't panic" hapo hadi nitoe betri ndo inaacha kuvibrate, nikiwasha tena...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba unisaidie ,ni program gan naweza ku install kwenye compyuta na kuchorea michoro kama; ~ electrical circuits ~elecric bell na michoro mingne kama 2D na 3D
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye xperienc na airtel home wifi naomba afunguke hapa na ningependa kujua kama unaweza tumia line tofauti ukiunlock
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nissan patrol Nissan Patrol ni series kubwa ya magari yatmiayo mifumo ua four-wheel drive .yanayo tengenezwa na campuni ya Nissan Japan toka 1951. The huwa yanajulikana kama magari magumu...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Nahitaji diplay touch ya techno f7 phantom
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Naombeni mnisaidie waungwana katika kuchezea cm yangu nimejikuta imekuwa bricked... nkiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tu... nimejarbu kusoma solutions from hovatek lakn kudownload stock rom...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Back
Top Bottom