Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za mida ndugu wadau wa maendeleo, mazingira, ma siasa, ma teknohama, mahusiano na mapenzi. Huwa najiuliza sana kuhusu wapigaji picha hapa nchini. Ni kwamba hawana camera za ukweli ama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina mini laptop ya hp ambayo nimeitumia kwa miaka kadhaa sasa. Hivi karibuni imekuwa ikiwashwa screen yake inaonyesha mistaristari tu, mara ya blue, mara myeusi. Hata sasa hakuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
-TUNAFANYA REPAIR ZA LAPTOP NA DESKTOP ZENYE MATATIZO MBALIMBALI NA KURUDIA HALI YAKE YA KAWAIDA. -MOTHERBOARD REPAIR-tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Hi wadau nina exteno drive yangu nilikuwa naitumia vizuri bahat mbaya ikaanguka chini na sasa haisomi kwenye pc..inaelekea kun damage kwa ndani. Kuna fundi au ushauri wowote nitapata? Nipo...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Naomba msaada mwenye kujua jinsi ya kuweka passward kwenye yahoo mail,maana kila nikijaribu inagoma nataka kujisajili.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ambaye anajua plz naomba msaada 0718388638 call me au ni beep ntakupigia unielekeze
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nina iphone ambayo to be honest niliiokota bank huku mkoa sasa imezima, haiwaki!! vp wakuu ndo imekuwa toy au kuna namna ya ku unlock??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Nimeanzisha poll najaribu kuona watanzania tunatumia simu zipi maana naona data za online haziaminiki wanasema watanzania wanaotumia simu zaidi ya 40% wana iPhone, haya si maajabu. Sasa naomba...
5 Reactions
175 Replies
15K Views
Mitandao salama Ni vyema kuwa makini zaidi wakati wowote unapoenda mtandaoni kwa kutumia mtandao ambao hauujui au hauuamini- kama vile mikahawa ya mtandao. Mtoaji huduma anaweza kuchungua...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Naomba msaada ninadownload vipi playstore katika simu yangu hii ya p5 tekno? kuna mtoto wa kaka yangu kachezea na kuipoteza sijui aliunstall?? msaada please.
0 Reactions
4 Replies
12K Views
#13 Samsung Galaxy Note 3 AP Samsung popularized the "phablet" category with the Galaxy Note more than two years ago. Now the phone is in its third generation with the Galaxy Note 3. The Galaxy...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Naombeni kujuzwa,ni Media Play gani ambayo inaweza kucheza nyimbo one after another in a smarthphone....? Here i mean,Mathalani nacheza video moja,then nataka ikiisha hiyo moja ziendelee na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu natumaini wote ni wazima, hapa nilipo nina mwezi tangu ninunue motorola moto g (2nd generation), simu imekuwa ikinipa notification ya kwamba ni update system yangu iwe lollipop, kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada nikipigiwa simu mpigaji anaambia simu " busy" kuwa inatumika wakati haitumiki,nikitaka ku "factory data reset"natakiwa kuingiza PIN ambayo siikumbuki,msaada wako unahitajika.Asante.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu sana jamvi samahani kwa usumbufu utakaojitokeza, napendwa kujuzwa je kwa MTU atumiaye smartphone anaweza kusurf net kupitia bandle la net ambalo look kwenye smartphone nyingine ? Kama ni...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Watanzania wenzangu na watumiaji wa JF kwa ujumla nawasalimu katika jina la Amani. Mimi ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida (chini) sasa nimefikia uamuzi wa kununu usafiri wangu binafsi ili...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Now that Facebook is introducing third party apps support in messenger, what's your take on this. more http://reviewstabloid.com/facebook-messengerplatform-to-support-third-party-apps/
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Hivi ni nani anafaidka na huduma ya google adsense?? na mimi ndo nimeanza kuwa nayo toka week iliyopta kutokana na kunikubalia na nimefksha dolar zaidi ya kumi na wameniambia leo watanitumia pin...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa nina shida siwezi kupokea email. Yaani mtu akinitumia email hata nikijitumia haziingii ila email naimiliki kila kitu password natuma email. Ni email ya yahoo.com nina wiki sasa haziingii...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuroot hii simu maana nimesearch topic za nyuma sijaona kuhusu kuroot s4 inayorun android 4.4.2 Sababu za kutaka kuiroot ni kwamba ina built in application nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom