Msaada wa simu ya itel it1500

Msaada wa simu ya itel it1500

ramani

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
61
Reaction score
11
msaada nikipigiwa simu mpigaji anaambia simu " busy" kuwa inatumika wakati haitumiki,nikitaka ku "factory data reset"natakiwa kuingiza PIN ambayo siikumbuki,msaada wako unahitajika.Asante.
 
Itel zinasumbua sana hasa katika Ku reset,ngoja wakuu waje hapa
 
Zima hiyo simu, kusha iwashe ukiwa umeshikilia batan ya kuwashia na ya kuongezea sauti.
Yatakuja maandihi ya kijani au blue tumia batan za kuongezea sauti kuchagua factor reset. Simu itazima na kuanza upya ila itafuta kila kitu ktk simu.
 
Mkuu sio kweli, katika SIMU ambazo zinasumbua sana Ku hard reset ni hizo itel 1500, inawezekana hata mleta Uzi kisha jaribu hilo kabla ya kuomba msaada hapa
 
Ukihard reset tu..ndo kwisha habar ya hiyo simu..bora uiache kama ilivo
 
Zima hiyo simu, kusha iwashe ukiwa umeshikilia batan ya kuwashia na ya kuongezea sauti.
Yatakuja maandihi ya kijani au blue tumia batan za kuongezea sauti kuchagua factor reset. Simu itazima na kuanza upya ila itafuta kila kitu ktk simu.
mkuu nimejaribu hiyo njia sijapata matokeo mazuri.
 
Attachments

  • UC_Photo_0.jpeg
    UC_Photo_0.jpeg
    86.1 KB · Views: 94
hiyo mpaka kuifactory kwa box la kuflashia linaitwa GPG DRAGON linauzwa kama laki 3.5 kwa kuwa wewe ni mtumiaji wa kawaida na unasimu moja tu ni bora uende kwa mafundi wa software wakufanyie wana hivyo vifaa,
 
Back
Top Bottom