Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Hi wadau nina exteno drive yangu nilikuwa naitumia vizuri bahat mbaya ikaanguka chini na sasa haisomi kwenye pc..inaelekea kun damage kwa ndani. Kuna fundi au ushauri wowote nitapata? Nipo kimondoni dar.